NENO LA SIKU
*Msifadhaike mioyoni mwenu;* mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
YN. 14:1-3 SUV
👉Mwaminini Mungu tuu atatenda kwa mkono wake mwenyewe
👉Na kwa wakati wake
Acha kufadhaika
👉Acha kulia
👉Acha kukata tamaa
👉NI marufuku kukata tamaa kwa Mwana wa Mungu
👉Yeye ni Yule Jana. . Leo na hata milele
👉Amesema amekwenda kutuandalia makao
👉Naye atakuja kutuchukua
😒Usihofu kwa maana yeye ni baba wa wote
Atakufuta machozi
🚶🏻♀Yote unayopitia ni daraja tuu ya kukufikisha kwa Baba
🏃♀🏃♀Ongeza mwendo
Kama ulikuwa mmoja wapo wa waliochoka
👉Kuna wakati unasema unataka hata kujiua
👉Basi ni wakati wako wa kuamka na kusema
*
#SITAKUFA BALI
#NITAISHI NAMI #NIYASIMULIE #MATENDO #MAKUU YA #BWANA
🤔Usiruhusu kabisa mawazo hayo
👯👯♂Simama tena tukapaone alipotuandalia Baba yetu panavyofanana mfano wake unaambiwa hakuna hapa duniani.
😊🤗Haleluyaaaaa🙌🙌
👉Basi Ujumbe wako huo
Jumatatu, 14 Agosti 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
WOKOVU KATIKA AGANO JIPYA.
SHALOM MPENDWA KATIKA BWANA. Karibu tena katika blog yako pendwa ya UPENDO WORSHIP "UW" Leo tunaenda kujifunza kuhusu wokovu. ...
-
SHALOOM Mpendwa katika BWANA. Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu katika blog yako pendwa UpendoWorship Leo tunaenda kujifu...
-
SHALOOM. Mpendwa katika BWANA Karibu tena katika blog yako pendwa ya UPENDO WORSHIP Tukapate kujifunza sala mbali mbali za kutukomboa kuto...
-
LEO TUNAANGALIA JAMBO LA PILI 2. IMANI YA KUFANIKIWA : Maandiko yanatuambia tunaishi kwa imani (Warumi 1:17). “Basi imani ni kuwa na ha...
discover here Lace Wigs,human hair wigs,hair toppers,human hair wigs,wigs,wigs,Lace Wigs,cheap wigs,cheap wigs you can try this out
JibuFutathis content Lace Wigs,wigs for women,wigs,Lace Wigs,hair toppers,hair extensions,Lace Wigs,wigs,hair toppers our website
JibuFuta