Tumsifu YESU KRISTO Tujifunze jinsi ya kuandika haya majina na utofauti wake,
1. ukiandika
mungu
soma 2korintho 4:4
soma 2wafalme 1:2
kumbe hapo inamaana shetani
mungu
soma 2korintho 4:4
soma 2wafalme 1:2
kumbe hapo inamaana shetani
2. ukiandika
Mungu au
MUNGU
soma Yohana 3:16
soma Luka 1:26
hapo inamaana Muumba mbingu na nchi
Mungu au
MUNGU
soma Yohana 3:16
soma Luka 1:26
hapo inamaana Muumba mbingu na nchi
3. ukiandika
bwana
soma Mathayo 25:5
kumbe ukiandika herufi ndogo inamaana bwana mume, au bos wako wa kazi
bwana
soma Mathayo 25:5
kumbe ukiandika herufi ndogo inamaana bwana mume, au bos wako wa kazi
4. ukiandika
Bwana au
BWANA
soma Mathayo 22:37
hapo ni Mungu mwenyewe
Bwana au
BWANA
soma Mathayo 22:37
hapo ni Mungu mwenyewe
5. ukiandika
roho
soma Luka 9:56
hapo maana yake roho yako roho za mashetani
roho
soma Luka 9:56
hapo maana yake roho yako roho za mashetani
6. ukiandika
Roho au
ROHO
soma Yohana 14:26
hapo ni Mungu mwenyewe
Roho au
ROHO
soma Yohana 14:26
hapo ni Mungu mwenyewe
7. ukiandika
yesu
hapo ni bar yesu
mchawi yule
matendo 13:6
yesu
hapo ni bar yesu
mchawi yule
matendo 13:6
8. ukiandika
Yesu au
YESU
soma Mathayo 1:16
Yesu au
YESU
soma Mathayo 1:16
hivyo kua makini na uandishi wa majina haya barikiwa na Bwana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni